Yusto wa Trieste

Sanamu yake juu ya mnara wa kengele wa kanisa kuu la jimbo la Trieste.

Yusto wa Trieste (alifariki Trieste, Italia, 2 Novemba 303 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo aliyefia imani yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Novemba[2].

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/76000
  2. Martyrologium Romanum

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search